Fresh Manna
By Pastor Tim Burt
Before I knew Jesus, I was a young man with little will power. The truth was, for the most part I...
THE COMFORTERS
A Place Where You Will Be Well Informed
Friday, July 18, 2014
Monday, June 23, 2014
This is What Happens When We Worship the Lord
Fresh Manna by Pastor Tim Burt
One morning while I was praying and worshiping the Lord, the Lord spoke to me. It was very clear and what He said was a fresh word to my heart. By that I mean that I had never had the thought He was communicating to me. As I was worshiping Him He spoke to my heart and said, Tim, worship...
Friday, June 20, 2014
ECUADOR YAIFUNGISHA VIRAGO HONDURAS
Timu ya ya taifa ya ecuador imeifungisha virago honduras kwa kipogo cha magoli 2 kwa 1 alipepeka msiba Honduras ni enner valensia kwa kupiga magoli yote huku goli la honduras likifungwa na costly.ulukua ni mchezo wa kihistoria kwani katika mashindano hayo hunduras kwa mara ya kwanza wamefuga goli.ki ujumla ulikua mchezo mzuri wa vuta ni...
FRANCE YAIBANJUA SWITZERLAND MAGOLI 5-2
Timu ya France imeingia hatua ya 16 kwa bwebwe baada ya kuitandika switzerland magoli 5 kwa 2.karamu ya magoli ilianza kwa giroud kisha matuidi kisha valbuena kisha benzema na sissoko akahitimisha karamu ya magoli.hata hivyo benzema alikosa penati.magoli ya switzerland dzemail na xhaka.goli ambalo alifunga benzema dakika za majeryhi...
COSTA RICA WAIBANJUA ITALY
Timu ya Costa rica imeifunga timu kogwe ya italy goli 1 kwa bila na kuingia katika 16 bora baada ya miaka 24.Timu ya costa rica imeanza kua tishio katika mashindano haya baada ya kuibanjua uruguay magoli 3 je England watatoka kwa costa rica.aliepeleka msiba kwa italy ni ruiz .na kwa matokeo hayo england wametoka rasmi hawajawatoka...
Lawama Nzito Za William Mtitu Kwa Flora Mbasha Kuhusu Kesi Ya Mumewe
Kufuatia kesi ya kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 17 inayomkabiri mume wa Flora Mbasha, director wa Bongo Movies William Mtitu amendika kwenye Instagram maneno mazito akimlaumu Flora Mbasha.
Hiki ndicho alichoandika:
Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa...
Thursday, June 19, 2014
JAPAN NA GREECE NGUVU SAWA WATOKA BILA KUFUNGANA
Japaniusiku huu wameshindwa kutamba baada ya kutoka sare na timu ya ugiriki ambayo ilikua inacheza watu wakiwa kumi uwanjani baada yarefa kumtoa captain wa timu hiyo kwa kadi nyekundu twende sawa na matukio
patashikaheka hekahupiti hapajembe sana huyu samarasshabik...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)
Designed By
Templateism
|
Seo Blogger Templates