Thursday, July 19, 2012

Cocktail Thanks Giving Ya Uncle Jimmy Temu ni siku ya leo pale tamal

Share it Please
Ile party ya kumshukuru MUNGU ya Blogger James Temu a.k.a Uncle Jimmy ambaye ni mwigizaji na mtangazaji wa redio praise power  itafanyika leo tarehe 20 ya mwezi wa 7 katika viwanja vya hotel ya tamal pale mwenge kuanzia mida ya saa 1 jioni mpaka saa 3 usiku


Katika party hiyo blog itakua inatimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake na katika usiku huo ambayo itapambwa na dar es salaam band pamoja na waimbaji wengine binafsi kutakuwa na vinyaji na chakula.
Katika party hiyo pamoja na burudani pia watakuwepo wasanii maarufu na watangazaji wakimsindikiza uncle jimmy wa ukweli.Aliongeza kwa kusema kuwa hakuta kuwa na kiingilio yaani ni bureeeee kabisa
kiingilio ni wewe na wenzako na miguu yako alisema uncle.
jimmy,chavala,mc manu,mc luvanda


Ray akiwa na jimmy


papaa sam
nathan yamungu   

Pia christian bloggers watakuwepo kumpa sapoti kamanda mwenzao.
Kumbuka ni leo pale mwenge tamal hotel na hakuna kiingilio karibuni woooooteeeeee

No comments :

Post a Comment

Followers