Thursday, June 14, 2012

BE AWARE WITH INTERNET RELATION BECAUSE THERE IS DEMON OLSO


SHALOM wapendwa nawasalimu katika jina la Yesu
Leo napenda tukumbushane na kueleweshana pia kuhusiana na mambo yanaendelea kwenye internet
hasa hii mitandao ya kijamii kama facebook,twiter na mingine mingi watu wanaibiwa kwenye hii mitandao na mbaya zaidi watu wanakua na mahusiano na kimapenzi na watu hata wasio wajua sasa
Ona madhara yaliowapata watu hawa wachache
cheki hii picha
Mama mmoja alikutana na mwanaume kwenye mtandao wakawa wana chati.Siku moja jamaa akamtumia N 60000000 kwa ajili ya kurecodia kwasababu mama alikua ni mwanamziki akakubali ofa na wakabadilishana picha tangu siku hiyo mama akawa anaota ndoto mbaya wanaume wakumfuata mahusiano hayadumu na akapoteza uelekeo wa maisha kabisa akaolewa na mwanaume wa kwanza akamzalisha na kumuacha  na mpaka anaenda kwa nabii TB JOSHUA alikua ameolewa mara 3 na anawatoto 3 na kila mtoto ana baba yake
unakutana na kutu kama hiki 
.       
Mwingine mwanaume alikutana na mwanaume mwenzake kwenye facebook wakawa wanachat kama ada yetu mpaka anton alipomwambia amtumie picha ndipo kasheshe ilipoanza picha masikio ya punda,pua ya kitimoto kifupi ni hatari na tangu hapo mawasiliano yakakatika na anton akaanza kupata maluweluwe anasema aliua nyoka 3 ndani ya siku moja wenye kimo sawa na siku ya pili 4 wenye vimo sawa lakini rangi tofauti akapata matatizo ya macho na akawa hawezi kutembea mwendo mrefu kwasababu ni kama amebeba mfuko wa cement aliendelea kuteseka mpaka alipo amua kwenda kanisani kuombewa
Mama mwingine alikua anachati nae kwenye facebook tangu alipoanza kuchat na huyo mtu asie mfahamu alipoteza mama akawa na magomvi na mume wake na na jamaa usiku anamtokea na wanaduu na pepo

Nawakati namalizia makala yangu asubuhi ya leo my brother from another mother bro samuel sasali amefunguka hivi kwenye wall yake
Dont Try This At Facebook...
My name is Mary,how are you today,i just went through your profile when i was searching for love, I have no options than letting you Know I saw your profile today.that is why i wish to have a relationship with you, I will also like to Know you more,i will be very great full to have you as my loved one.so you can reply back to me through this address and i will also send you my pictures.please try to contact my Email id so that i will reply you back am waiting for your mail (mary.Teamah(@)yahoo.com). from Mary.
Photo: Dont Try This At Facebook...
My name is Mary,how are you today,i just went through your profile when i was searching for love, I have no options than letting you Know I saw your profile today.that is why i wish to have a relationship with you, I will also like to Know you more,i will be very great full to have you as my loved one.so you can reply back to me through this address and i will also send you my pictures.please try to contact my Email id so that i will reply you back am waiting for your mail (mary.Teamah(@)yahoo.com). from Mary.


Yote katika yote technologia ni nzuri kama itatumika vizuri,epuka kuchat au kusoma e mail ambazo unamashaka nazo au kuwa add watu ambao huwajui afu kwenye profile hakuna taarifa zinazoeleweka
Profile picture
samuel sasal papaa the blogger alifunguka asubuhi ya leo


Continue Reading...

Wednesday, June 13, 2012

URENO YAIKAMATA DENMARK LEO!!!!!!




Team badge of Denmark
Denmark2
Bendtner 41′, 80′
Team badge of Portugal
Portugal3
Pepe 25′Postiga 36′Varela 87′


Helder Postiga

goli la pepe
cristian ronaldo amekosa magoli mengi sana leo


                                               heka heka mchezoni
 
                                               mashabiki wa ureno 
 
                               dakika 86 jamaa kapeleka kilio denmark
denmark wakishangilia ushindi wa goli lao
Kingine kikubwa leo ni ulaji aliopewa kocha wa chelsea   Roberto Di Matteo  amekabidhiwa timu rasmi  kwa mkataba wa miaka miwili so mashabiki wa chelsea habari ndo hiyoo
Mpaka sasa wajerumani wanaongoza kwa goli 2 dhidi ya 1 la uholanzi
Continue Reading...

Tuesday, June 12, 2012

HAPPY BIRTHDAY PROPFET TB JOSHUA AGAIN HAPPY BIRTHDAY AT 49

Ikiwa leo ni june 12 ni siku ambayo amezaliwa nabii Tb Joshua alizaliwa huko arigidi nchini Nigeria
Tb Joshua anatimiza miaka 49 na amededicate siku ya leo kumuombea nakuwaombea wachungaji
popote pale walipo yaani kuomba bila kuchoka na haya ndiyo aliyosema

You have listened to the celebrant explain how God wants us to celebrate his birthday. That day, June 12th shall be dedicated to prayers for the Church of God, for its unity. The church shall be one, as the Bible says in 1 Corinthians 12:12. It is also an occasion that calls for persistent giving, especially to the needy. What do we give? Our love, our strength, our possessions, our time and our care. So, that day, be in an attitude of fasting and prayer. Rededicate yourself to the act of giving. God bless you as you celebrate it in this way. 






TB JOSHUA
TB JOSHUA SAY THANKS FOR YOU PRAYING WITHOUT CEASING BIG THANK YOU
AGAIN HAPPY BIRHTDAY AT 49 HAPPY BIRTHDAY  HAPPY BIRTHDAY TB JOSHUA
Continue Reading...

DONT GET WEARY ISAIAH 40:28 to 31



There is many thing which passthougth and make us tired.and sometime even you tired of you self,your family,friends.i dont know what you pass thougth this day may be you have not employed,you have no money or you disire to be marred and age has gone or any problem which you pass thougth or tired off
ihave message from God do not tired God know your situation and he will sure help you out.




How do you defeat the condition of getting weary or tired
.By knowing GOD you worship,the GOD who saved you he is able to help you
daniel 11:32
Our God is same  is mutable and he is caring,loving and he is there for you to help and he never tired of us.Trust the lord and on promiss of God and his word remember God
obey his word



Have faith in God that  he is able to help you out.have a time with God read the bible meditate it,praise him worship there is big secret in worship.you know when God worshiped in truth and spirit he will sure come and when he come you be never be the same he will transform you and touch you need.



remember the good is yet to come so do not tired,do not give up and do not get weary
the good thing is that GOD know you problem and not only that he know you problem but olso he has the solution of your problem
be blessed and GOD give the disire of yout heart in  JESUS  name amen




Continue Reading...

Monday, June 11, 2012

ENGLAND NA FRANCE NGUVU SAWA


LEO NAPENDA KUWAPA PONGEZI KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA KWA USHINDI WALIO UPATA JANA DHIDI YA GAMBIA VIVA TAIFA STAR KAZI NZURI
Huko majuu leo ilikua mpambano mkali kati ya ENGLAND na FRANCE matokeo ni draw ya 1 kwa 1
twende sawa kwenye matukio

France v England
lescot akiifungia goli uingereza
England's Joleon Lescott controls the ball in front of France's Karim Benzema
lescot na benzima kazini
France v England
goli la nasri
France v England
waingeleza wakifurahia ushindi



LAKINI PIA KUBWA LA LEO NI UJIO WA KOCHA MKUU WA ZAMANI WA TANZANIA
MBAZILI Marcio Maximo ANATARAJIWA KUWASILI KESHO KUSAINI MKATABA KUIFUNDISHA TIMU YA YANGA
Continue Reading...

Sunday, June 10, 2012

WHY DO WE NOT TRUST THE MAN OF GOD TB JOSHUA



 Nabii wa kimataifa TB JOSHUA Amefunguka leo kanisani  kwa kusema kuwa kama Serikali ya Nigeria
ingemsikiliza ajali ya ndege iliyotokea nchini humo isingetokea alienda mbali zaidi kwa kusema kua hata ajali iliyotokea nchini kenya Mungu alimuonesha na alisema kanisani jumapili ya wiki iliyopita kwa kusema ajali itatokea ni kwa anga au ardhini itatokea na kweli imetokea ambapo waziri wa  Waziri wa Usalama wa Taifa, Profesa George Saitoti, naibu wake Orwa Ojode pamoja na maafisa wengine wa ngazi za juu serikalini imeanguka na kushika moto

 nabii TB JOSHUA
Nabii aliendelea kwa kusema tatizo wanadamu wanashusha viwango vya Mungu na kuviweka sawa na
wanadamu.Pia alisema kwake yeye anamuomba Mungu awaongeze watu mwenye hekima(wise man and women)ili waweze kuoneshwa na Mungu mambo yatakayotokea ndani na nje na nchi zao kwasababu mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache.Mungu anaponionesha unabii maana yake ni kamani kitu kibaya basi kanisa kwa imani liombe ili Mungu akizuiekisitoke aliendelea kusema nabii Joshua.


nabii alimaliza kwa kusema TOUCH NOT MY ANNOITING na kuendelea kusema ukimshambulia yeye unamshambulia Mungu.kisha akasema AS SURELY AS THE LORD LIVES I SHALL SAY THAT WHICH I SHALL LIVE TO SEE ACCOPLISHED alimalizia hapo kisha akaendelea na maombezi na mpaka blog  inaenda hewani bado ibada ilikua inaendelea





Continue Reading...

Saturday, June 9, 2012

LEO NETHERLAND WAMEKUBALI KIPIGO TOKA KWA DENMARK



Metalist StadiumMetalist StadiumLeo ukraine katika uwanja wa Metalist Stadium, Kharkiv pamekuwa hapatoshi baada miamba miwili 
inayotikisa ulimwengu kuchuana vikali kati  ya Netherland na Denmark cheki nami matukio katika picha
na matokeo kwa ujumla twende sawa



NETHERLANDS


DENMARK

Krohn-Dehli 24 
0-1
FULTIME

Kitu goool

mashabiki wa Denmark wakifurahia ushindi


hapa upiti mwana
Ibrahim Afellay
Jamaa haamini kama goli limeingia

Michael Krohn-Dehli
muuwaji wa leo ndo huyu hapa

heka keka

TWENDE SAWA BAABAE WAKATI TIMU MBILI NGUMU ZA
Germany v Portugal
Continue Reading...

Friday, June 8, 2012

NI EURO 2012 INAYOFANYIKA HUKO POLAND LIVE


POLAND

Poland v Greece
Lewandowski 17 goli la greece

GREECE

Salpingidis 51 
1-1

Poland v Greece
mfungaji wa goli la poland
Poland v Greece
Poland v Greece
kadi nyekundu ya greeceML - Poland - Greece - phase: 2 min: 999998

Poland v Greece

Poland wakiwa nyumbani wamelazimishwa sare ya kufungana 1 kwa 1 na timu ya Greece
blog itakuwa inakuletea matokeo na update nyingine nyingi za mashindano haya ya UEFA EURO 2012



Team badge of Czech Republic

Na hii ni game inayofuata baadae saa 4 kamili usiku kwa saa za africa mashariki
Przemysław Tytoń (Poland)

Team badge of Russia
Russia4
Dzagoev 15′, 79′Shirokov 24′Pavlyuchenko 82′
Team badge of Czech Republic
Czech Rep.1
Pilar 52′

Matokeo ndio hayo hapo juu

Russia's Roman Shirokov



ML - Poland - Greece - phase: 2 min: 999998
Continue Reading...

Tuesday, June 5, 2012

YES WE CAN WIN THIS AWARD FOR CHRISTINA SHUSHO AND FOR TANZANIA

Katika jambo hili naomba watanzania tuweke tofauti zetu pembeni na kumpigia kura christina shusho
ili aweze kuibuka kinara katika tuzo alizopendekezwa.Waimbaji wote wa Tanzania,wapenzi wote wa mziki wa injili Tanzania na watanzania woote kwa pamoja tumpigie kura..Najua umebarikiwa sana na huduma yake na sasa ni wakati wako kumpa sapot katika hili

Huyu ndio CHRISTINA MWANA WA SHUSHO

Christina ameingia katika vipengele viwili ambavyo ni mwimbaji bora wa kike wa mwaka
na wengine anaoshindanishwa nao ni
1.Emmy Kosgei-Kenya 
2.Dena Mwana – Congo 
3.Ntokozo Mbambo- South Africa 
4.Rebecca- UK 
5.Gifty Osei- Ghana 
6.Kefee -Nigeria 
7.Onos Ariyo- Nigeria 
8.Diana Hamilton-UK 
9.Christina Shusho -Tanzania 
10.Lara George- Nigeria 



Katika kipengele cha pili anachowania tuzo mwimbaji huyo ni mwimbaji wa mwaka anayowania pamoja na waimbaji wengine 9 ambao ni 

1.Eko Dydda- Kenya 
2.Emmy Kosgei - Kenya 
3.Exodus- Uganda 
4.Christina Shusho- Tanzania 
5.Lam Lungwar- South Sudan 
6. Sarah K- Kenya 
7.Dawit Getachew-Ethiopia 
8.Kambua-Kenya 
9.Willie Paul- Kenya 
10.Ann Marie Mutesi - Burundi 



Na hii ni namna ambavyo utaweza kupiga kura  ttp://www.africagospelawards.com/nominate.html

VOTE NOW
AGMA 2012 VOTING GUIDELINES
1. Click on the 'VOTE NOW' button.
2. Register your email address, confirm and submit.
3. Check your email (inbox) and you will find the link to vote.
4. If you do not find the link in your email inbox, please check your junk mail folder.
5. Once you have connected to the voting page please make your selections and submit (you can only vote for one nominee from each category). 
6. You do not have to vote in every category.





KUMBUKA..KUMBUKA KURA YAKO MOJA NDIO ITAKAYOMPA USHINDI CHRISTINA SHUSHO.NA YES WE CAN WIN THIS AWARD.Piga kura wewe na waambie na watu wengine wapige kura kwa christina shusho..GOD BLESS YOU UNAPOPIGA KULA YAKO KWA CHRISTIANA SHUSHO
Continue Reading...

Followers