Thursday, June 12, 2014

VITUKO VYA KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL

Share it Please
Ikiwa leo ndio leo huko brazil ambapo mashindano ya kombe la dunia 2014 yana anza rasmi ambapo wenyeji Brazil wataumana na Croatia.Pamoja na shamra shamra zinazoendelea vituko na mbwembwe havikubaki nyuma 
View image on Twitter
Hii ni ndege ambayo  timu ya japani wanaitumia huko brazil
Star struck: Messi enjoyed the lighter moment in the session as the fan is taken away by an official
Huyo sio gaucho ni shabiki wa kibrazili anae mkubali Messi ili bidi messi ana wenzake wacheke sana
Respect: A fan polishes Messi's rght boot after invading the pitch as the World Cup second favourites trained
shabiki akimfuta viatu Messi ni shidaa
Brazil fan in front of Messi & Neymar mural
watu bana
2014 World Cup: England fan
kila shabiki anaimani nchi yake itachukua kombe huyu ni muingerza

marcelo
Brazil wall decorated with players
haya sasa
Brazuca infographic
                                                                                                                                                                                                                             Kila nchi inaamini itachukua kombe hata wale ndugu zangu wa irani waanamini hivyo.tungoje tuone na mtanange unaanza leo  nani atakua mbabe na kulichukua kombe mimi naamini kutakua na suprise za kutosha kutoka kwa wale tunaowaamini watafanya vizuri na wale wasiofanya vizuri kiukweli kombe halina mwenyewe yoyote anaweza kulichukua.

No comments :

Post a Comment

Followers