Friday, January 31, 2014

FRIENDS ON FRIDAY AMSHA AMSHA LEO,

Ule mtoko wa marafiki maarufu mjini leo tena utachukua kasi yake katika viwanja vya tamal hotel kwa kiingio cha shilingi za kitanzani elfu kumi na tano 15000. Mtupio kama kawaida ni njano na nyeusi na t zinapatikana kwa wingi  kwa sh 15000 tu.kwa upande wa burudani hapa kijitonyama choir pale Angela bernad sebene za kutosha kule kwaito yani ni raha usikose


kamati ya maandalizi wako tayari
Angela bernad
huu ndio mtupio
Chriss wa mauki mtaalamu wa sakolojia na mahusiano anadondosha talk
Continue Reading...

Followers