Thursday, June 14, 2012

BE AWARE WITH INTERNET RELATION BECAUSE THERE IS DEMON OLSO

Share it Please

SHALOM wapendwa nawasalimu katika jina la Yesu
Leo napenda tukumbushane na kueleweshana pia kuhusiana na mambo yanaendelea kwenye internet
hasa hii mitandao ya kijamii kama facebook,twiter na mingine mingi watu wanaibiwa kwenye hii mitandao na mbaya zaidi watu wanakua na mahusiano na kimapenzi na watu hata wasio wajua sasa
Ona madhara yaliowapata watu hawa wachache
cheki hii picha
Mama mmoja alikutana na mwanaume kwenye mtandao wakawa wana chati.Siku moja jamaa akamtumia N 60000000 kwa ajili ya kurecodia kwasababu mama alikua ni mwanamziki akakubali ofa na wakabadilishana picha tangu siku hiyo mama akawa anaota ndoto mbaya wanaume wakumfuata mahusiano hayadumu na akapoteza uelekeo wa maisha kabisa akaolewa na mwanaume wa kwanza akamzalisha na kumuacha  na mpaka anaenda kwa nabii TB JOSHUA alikua ameolewa mara 3 na anawatoto 3 na kila mtoto ana baba yake
unakutana na kutu kama hiki 
.       
Mwingine mwanaume alikutana na mwanaume mwenzake kwenye facebook wakawa wanachat kama ada yetu mpaka anton alipomwambia amtumie picha ndipo kasheshe ilipoanza picha masikio ya punda,pua ya kitimoto kifupi ni hatari na tangu hapo mawasiliano yakakatika na anton akaanza kupata maluweluwe anasema aliua nyoka 3 ndani ya siku moja wenye kimo sawa na siku ya pili 4 wenye vimo sawa lakini rangi tofauti akapata matatizo ya macho na akawa hawezi kutembea mwendo mrefu kwasababu ni kama amebeba mfuko wa cement aliendelea kuteseka mpaka alipo amua kwenda kanisani kuombewa
Mama mwingine alikua anachati nae kwenye facebook tangu alipoanza kuchat na huyo mtu asie mfahamu alipoteza mama akawa na magomvi na mume wake na na jamaa usiku anamtokea na wanaduu na pepo

Nawakati namalizia makala yangu asubuhi ya leo my brother from another mother bro samuel sasali amefunguka hivi kwenye wall yake
Dont Try This At Facebook...
My name is Mary,how are you today,i just went through your profile when i was searching for love, I have no options than letting you Know I saw your profile today.that is why i wish to have a relationship with you, I will also like to Know you more,i will be very great full to have you as my loved one.so you can reply back to me through this address and i will also send you my pictures.please try to contact my Email id so that i will reply you back am waiting for your mail (mary.Teamah(@)yahoo.com). from Mary.
Photo: Dont Try This At Facebook...

Yote katika yote technologia ni nzuri kama itatumika vizuri,epuka kuchat au kusoma e mail ambazo unamashaka nazo au kuwa add watu ambao huwajui afu kwenye profile hakuna taarifa zinazoeleweka
Profile picture
samuel sasal papaa the blogger alifunguka asubuhi ya leo

No comments :

Post a Comment

Followers