Thursday, June 12, 2014

MTOTO WA R KELLY AMEJITANGAZA KWAMBA YEYE NI MWANAUME

Share it Please
Ama kweli ukitaajabu ya Musa utayaoona ya filauni mtoto wa kike wa mwimbaji R kelly amejitangaza kwamba yeye ni mwanaume yaani transguy.Binti huyo mwenye umri wa miaka 14 tu amejitangaza kupitia mitandao ya kijamii ya instgram na facebook.Jina alilopewa na wazazi ni JAYA KELLY lakini yeye anajiita JAY KELLY.Mtoto huyo amefika mbali zaidi kwa kusema anataka kabisa kubadilisha jinsia ili awe kama baba
Jay Kelly
Mama wa mtoto huyo Andrea Kelly anamuunga mkono mtoto wake huyo na sasa mtoto huyo anavaa nguo za kiume na kunyoa kama dume
Jay Kelly
Ati anataka kuwa kama baba yake
Jay Kelly
Huyu ni mtoto wa kike Jaya kelly
R Kelly.jpg
R KELLY baba mzazi
Mungu na atusaidie  kulea watoto wetu katika njia nzuri kama mithari inavyosema "Mlee mtoto katika njia impasayo nae hata iacha mpaka atakapokua mzee"

No comments :

Post a Comment

Followers