
Leo ukraine katika uwanja wa Metalist Stadium, Kharkiv pamekuwa hapatoshi baada miamba miwili inayotikisa ulimwengu kuchuana vikali kati ya Netherland na Denmark cheki nami matukio katika picha
na matokeo kwa ujumla twende sawa
NETHERLANDS

DENMARK
Krohn-Dehli 24
0-1
Kitu goool
![]() |
| mashabiki wa Denmark wakifurahia ushindi |
![]() |
| hapa upiti mwana |
![]() |
| Jamaa haamini kama goli limeingia |
![]() |
| muuwaji wa leo ndo huyu hapa |
![]() |
| heka keka TWENDE SAWA BAABAE WAKATI TIMU MBILI NGUMU ZA Germany v Portugal |






No comments :
Post a Comment