Friday, June 20, 2014

COSTA RICA WAIBANJUA ITALY

Share it Please
Timu ya Costa rica imeifunga timu kogwe ya italy goli 1 kwa bila na kuingia katika 16 bora baada ya miaka 24.Timu ya costa rica imeanza kua tishio katika mashindano haya baada ya kuibanjua uruguay magoli 3 je England watatoka kwa costa rica.aliepeleka  msiba kwa italy ni ruiz .na kwa matokeo hayo england wametoka rasmi hawajawatoka katika hatua ya makundi tangu mwaka 1958.twende sawa na matukio
goli la ruiz

Andrea Pirlo
mzee mzima pirlo

Mario Balotelli is booked
mtukutu baloteli

Italy"s Mario Balotelli reacts after a penalty was not awarded
heka heka

Costa Rica penalty appeal

Italy's midfielder Andrea Pirlo and Costa Rica's forward Bryan Ruiz

Mario Balotelli
kosa kosa

Italian fans holds a 'Super Mario' shirt a loft
ushabiki

Italy fan

Joel Campbell


England out
visa tu
Andrea Pirlo stats


No comments :

Post a Comment

Followers