Friday, June 20, 2014

FRANCE YAIBANJUA SWITZERLAND MAGOLI 5-2

Share it Please
Timu ya France imeingia hatua ya 16 kwa bwebwe baada ya kuitandika switzerland magoli 5 kwa 2.karamu ya magoli ilianza kwa giroud kisha matuidi kisha valbuena kisha benzema na sissoko akahitimisha karamu ya magoli.hata hivyo benzema alikosa penati.magoli ya switzerland  dzemail na xhaka.goli ambalo alifunga benzema dakika za majeryhi lilikataliwa baada benzema kufunga wakati filimbi ya mwisho ikiwa imeshapigwa. twende sawa na matukio katika picha

benzema

Sissoko
goli la sissoko

Mathieu Valbuena of France scores his team's third goal
Switzerland v France


Giroud scores from a header


Steve von Bergen of Switzerland collides with Olivier Giroud
heka heka

Switzerland players pose before the 2014 World Cup Group E game
kikosi

France team
kokosi

Matuidi



raha ya ushindi

No comments :

Post a Comment

Followers