Thursday, June 19, 2014

JAPAN NA GREECE NGUVU SAWA WATOKA BILA KUFUNGANA

Share it Please
Japaniusiku huu wameshindwa kutamba baada ya kutoka sare na timu ya ugiriki ambayo ilikua inacheza  watu wakiwa kumi uwanjani baada yarefa kumtoa captain wa timu hiyo kwa kadi nyekundu twende sawa na matukio
patashika

Hotaru Yamaguchi of Japan tangles with a Greece defender

Fulham's Konstantinos Mitroglou in action for Greece against Japan

Yuya Osako of Japan against Greece
heka heka

Keisuke Honda of Japan
hupiti hapa

Giorgos Samaras of Greece
jembe sana huyu samaras

Yashuhito Endo curls a free-kick over the Greece wall

Greece team

Japan v Greece

Greece fans at the Japan game
shabiki

No comments :

Post a Comment

Followers